BSM Washauri (TZ) Ltd Yatazamia Mageuzi na Ukuaji wa Sekta ya Ufugaji Nchini.

BSMWashauri(TZ)ltd imefanya mazungumzo yenye tija na Wizara ya Mifugo na Uvuvi nchini.Mazungumzo hayo yamefanyika katika makao makuu ya WIzara,Mtumba-Dodoma,Tarehe 30julai 2025.Majadiliano haya ni hatua kubwa kuelekea mageuzi ya kiuchumi na maendeleo ya kudumu Tanzania,kupitia wizara hii.